albert-albert
Member
- Jul 14, 2013
- 15
- 3
Habari zenu jamani.naomba kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu.Mimi nilikua nasoma bs.informatics sua.lakini nimediscontinue mwaka jana kabla ya kuingia mwaka 3(mwaka huu).kwa sasa natafakari kitu cha kufanya kati ya hivi viwili 1.nitumie cheti cha form 4 kuaply diploma kozi za afya(co) au 2.nisubili application za ualimu advanced diploma.