Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wanafunzi wanaopokea Mikopo Chuo kikuu wameanza Kuhakikiwa, ili kuweza kujua nani ni mpokea mkopo hewa. Hivyo hiyo ni mikakati ya kufuta majina hewa ya Mikopo. Je! wakipatikana nani atatumbuliwa?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Unaplan ya kusoma EGM Je, kusoma combination unayotaka ni uamuzi wako au serikali inakupangia combination wanayoitaka au inakuwaje yaan katika swala la kwenda A-level inakuwaje mpaka upate...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Shonza amedai wale wanaostahili kupata mikopo hawapati na wale wasiostahili mara nyingi huwa ndio wanaopata, amedai pia bodi haijajitambua kuwa ule mkopo wanaotoa ni mkopo au hisani ndio maana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
serikali na wizara ya elimu wamelala sasa, wiki ya 10 inaelekea wana UDSM hawana boom sijui wahusika wanalitazamaje hili, au mpaka maandamo ndo watumbuliwe? tumechoka na unafiki wa hapa kazi tu...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Habarin za leo wakuu...langu ni moja tu leo, Naitaji kusoma pharmacy, tatizo bado sijajua working places zake ni zipi tofauti na uuzaji wa madawa Msaada tafadhali wakuu, Asante
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Sisi wanafunzi wa Masters in information studies.University of Dar es salaam. DEPARTMENT OF INFORMATION STUDIES*Course Coordinator Prof. NAWE Tulitakiwa tu-graduate mwaka 2015 disemba. Walimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TANGAZO MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2016. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linautangazia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninataka niapply facult za electrical and electronics engineering au petroleum engineering au marine technology and engineering kwa UDSM ama DIT ama MARITIME, baada ya matokeo kutoka. Je nipo sawa...
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Samahan wanajamvi mm jana wakati nipo safar kuelekea chuon nimeibiwa begi ambalo lilikuwa na vyeti vyote yaan academic certificates form four na form six pamoja na birth certificate HV kuna...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojeleza TCU na HESLB wanafungua lini? Halafu naomba nifahamishwe tu kwa nia njema hv ni nani anaepiga deal pale kati ya Heslb na posta kwasababu hata ukipeleka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani kwa wale mliopo Udsm, 2peni sababu ya fujo zilizotokea ucku!
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimetafuta kujua utaratibu wanaoutumia waandamizi tsd ni vigezo gani wanatumia kubadili madaraja ya waalimu naona sielewi vizuri naomba kujulishwa......
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Bodi ya mikopo (Heslb) mpaka sasa hawajatoa fomu au maelekezo kwa wahitimu kidato cha sita 2016 na watu wengne wenye uhitaji wa ufadhiri wa masomo kwa mwaka wa masomo 2016/17 tofaut na...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Ni wazi kuwa siasa ilikuwa imevamia elimu ya Tanzania. namuomba waziri wa elimu mpya aweke mambo sawa
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi naomba utaratibu wa kuhama wilaya kuhamia wilaya nyingine bila kubadilishana mtu kwa MWALIMU.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani naombeni Masada wenu mnao vifahamu hivi vyuo kipi kipo powa Kati Ya MLIMANI TEACHERS COLLEGE, MOROGORO TEACHERS COLLEGE AND KOROGWE TEACHERS COLLEGE
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mtu aliyesoma HGE anaweza kusomea nini chuo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa.. naomba mwenye kujua vitabu hivi vya Auditing vya kufundishia. Tafadhali kwa anayevifahamu vile vizuri zaidi naomba mnitajie. Wakuuu.. najua wataalam wa sector iyo wapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni Masada wenu wana jukwaa kwa anayefahamu selection lini atujuze coz tumesubiri sana
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa wale mnaopokea mikopo boom na hela za kutosha kutoka nyumbanj tafadhali tumieni vizuri jamani wengine tunatafuta hata wa kutupa walau buku kumi chuoni tunakosa. Na wenyewe mnajua maisha ya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom