vicent moshi
Member
- Apr 6, 2015
- 92
- 55
Nimetafuta kujua utaratibu wanaoutumia waandamizi tsd ni vigezo gani wanatumia kubadili madaraja ya waalimu naona sielewi vizuri naomba kujulishwa......
Acha mambo hizo, makosa ya wengine ndo yawe yake? Ana haki kupanda hivyo apande tuWe bure kabisa ,wenzio wameanza mwaka 2000 na mpaka leo hawajapanda we wa juzi tu hata hujapata TB kutokana na chaki upande cheo?
We bure kabisa ,wenzio wameanza mwaka 2000 na mpaka leo hawajapanda we wa juzi tu hata hujapata TB kutokana na chaki upande cheo?
We bure kabisa ,wenzio wameanza mwaka 2000 na mpaka leo hawajapanda we wa juzi tu hata hujapata TB kutokana na chaki upande cheo?
Unauhakika?Kwanza mwaka 2000 hakukua na ajira za walimu. Huyo alieajiliwa 2000 alialiajiriwa na nani?
Miaka mitatu unahama daraja,ila kama umeajiriwa 2013 kwenda mbele utapanda baada ya miaka minneNimetafuta kujua utaratibu wanaoutumia waandamizi tsd ni vigezo gani wanatumia kubadili madaraja ya waalimu naona sielewi vizuri naomba kujulishwa......