abuu khaulah
Member
- Feb 12, 2016
- 12
- 9
Jamani kwa wale mliopo Udsm, 2peni sababu ya fujo zilizotokea ucku!
Boom hamna, njaa kaliJamani kwa wale mliopo Udsm, 2peni sababu ya fujo zilizotokea ucku!
Okay bila shaka vijana wameshafika hapo hakuna kitakacho halibika.Kuna mtu alisema 95% ya vyoo vimeziba, itakua ndio maana kunanuka, itakua chemba zimeanza kutema jana usiku.
Hakika KUMENUKA huko chuoni.