huyo mama ni mdini ana chuki na waislam
Wapi Shukuru Kawambwa?
Ni wazi kuwa siasa ilikuwa imevamia elimu ya Tanzania. namuomba waziri wa elimu mpya aweke mambo sawa
huyo mama ni mdini ana chuki na waislam
huyo mama ni mdini ana chuki na waislam
huyo mama ni mdini ana chuki na waislam
Kuna vijana ambao hawana qualifications za kusoma hata hiyo stashahada ya ualimu wa sayansi kwani hawakufaulu Sana. Unakuta mtoto ana 'C' moja au mbili katika matokeo yake ya kidato cha nne, leo unampa diploma akafundishe wadogo zetu kwelii..?!! Wale wanaostahili kuendelea na masomo awarudishe lakini wale ambao hawana sifa asiwaangalie usoni. Am outBinafs namkubali Ndalichako ni kweli kwa nchi ilipokuwa imefikia imepata mwenye lkn suala la kuwarudshap home hao wa sayans ckubalian nalo lbda serkal ingekubali ilifanya udhaif mapema iwaache wamalze waajiliwe ila iwe mwisho kusomea diploma hyo maana waliwapotezea mda mwingi hao wanafnz!
sijaona waziri anayekurupuka kama huyu, hii wizara haihitaji waziri mwenye mandate ya juu namna hii, inahitaji body ya kisayansi kuendeshwa ili iwe na mipango endelevu, bila hivo kila waziri atakuja na programme mpya kabisa na tutaendelea kuwa wasindikizaji tu kwenye elimu