Je, nitakuwa sahihi kwa maamuzi haya?

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,462
2,935
Ninataka niapply facult za electrical and electronics engineering au petroleum engineering au marine technology and engineering kwa UDSM ama DIT ama MARITIME, baada ya matokeo kutoka. Je nipo sawa kulingana na changamoto ya ajira iliyopo sasa, na ninaweza kujiajiri kwa urahisi kutokana na kozi tajwa?

Nisaidieni mawazo.
 
Back
Top Bottom