Inauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi...
Ikumbukwe kuwa chuo kikuu cha Udsm jana walifanya mgomo kudai pesa yao ya kujimu, na ilidaiwa pesa hiyo haikuwa chuo lakin baadae wanafunzi waliweza kupewa fedha zao. Ikumbukwe kuwa Dvc Luoga...
Habari;
(Kudesa;chabo,juche,nondo) kwa wale wasioelewa, ni ile hali ya mwanafunzi kuibia/Kuigilizia katika mtihani,test au assignment; SASA
Naomba kuuliza maswali haya;
a). hivi na ulaya kuna...
Duuuh huyu dogo anatisha je kwa results hizi atachaguliwa kweli kwa haya matokeo DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D
Naomba kufahamu sofa za diploma in primary education coz kuna dogo ameaply ila ana wasi wasi kwani ana ufaulu WA DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D
Ndugu wana Jf
Habari za saa hizi! Nimehesabu mara 100 nikiwapikgia simu nacte kwa namba tofauti walizoweka kwenye website yao hakuna anayepokea zaidi ya mara busy mara haipokelewi kulikoni...
Mimi kama mwanafunzi wa social science nina haya ya kuwaambia wana jf.
Hali si nzuri utawala wa social science.
Wafanyakazi wanaowaudumia wanafunzi hapa, wengi wao wamesahau maadili ya kazi na...
Habari za leo ndugu,
kuna ndugu yangu alimaliza bachelor ya law open university of tanzania yupo kijijini kaniomba nimuangalizie mkopo kaniambia almost wote wanapewa na wanakua favoured hasa wale...
samahani wakubwa kuna hili suala linatutatiza huku mtaani ....kwamba je mtu anaweza kwenda JKT hata kama hajachaguliwa lakin nae kahitim kdato cha sita mwaka huu......ASANTENI
Naomba kuuliza kuhusu kozi ya theatre technician. Hapa kwetu ni chuo gani kinatoa, na inachukua muda gani mpaka kumaliza?
Pia ni vigezo gani vinahitajika. Halafu baada ya hapo unaweza kuendelea...
Kupitia CAS ya NACTE deadline applications za degree mwisho mei 31 mwezi huu,ukianza kuaply katka ile hatua ya kuchagua chuo, list ya vyuo vikuu haiji.Hata taarifa ya mabadiliko yoyote hawajatoa...
Wasalaam,
Iko hivi, kuna shule moja ya msingi hapa mjini wa darasa la sita wameagizwa waende shule na kondom na ndizi kwa ajili ya practical ya somo la sayansi kujifunza jinsi gani ya kutumia...
Kwa Wale Watakaojifanya Wajanja Kutoka SAINT JOSEPH UNIVERSITY na Kutaka Kujihamishia Vyuo Vengine Huku Wakiwa Wametimuliwa Chuoni Hapo, Basi Wajue HESLB iko Macho Na Itahamishia Mikopo Yake Kwa...
Mgomo wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambao ulitangazwa na Rais pamoja na makamu wao wa serikali yao ya wanafunzi DARUSO unaendelea muda huu ndani ya chuo hicho ambapo wanafunzi...
Nasikitika sana kusema kuwa vyuo vikuu vyetu vingi, hasa vya serikali, vina madudu mengi sana katika utoaji hela za kujikimu (boom) kwa wanafunzi wake na hata mambo mengine ya kiutawala! Vyuo hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.