Wanafunzi wanaopokea mikopo kwa UDOM leo wameanza kuhakikiwa

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Wanafunzi wanaopokea Mikopo Chuo kikuu wameanza Kuhakikiwa, ili kuweza kujua nani ni mpokea mkopo hewa. Hivyo hiyo ni mikakati ya kufuta majina hewa ya Mikopo. Je! wakipatikana nani atatumbuliwa?
 
kitambulisho cha chuo, kadi ya kupigia kura, kadi ya benki na kitambulizo cha bima ya afya. over
 
Back
Top Bottom