Wadau Mfano unasoma Art's na Matokeo ya O-level ukafaulu HGL, HKL, HGK na BASIC MATHEMATICS

Gaza boy

Member
May 27, 2016
9
1
Na Unaplan ya kusoma EGM Je, kusoma combination unayotaka ni uamuzi wako au serikali inakupangia combination wanayoitaka au inakuwaje yaan katika swala la kwenda A-level inakuwaje mpaka upate combination unayoitaka
 
Kama serikali itakupangia comb usiyo itaka unaweza ukabalisha ukifika shule uliyo pangiwa kama inacomb iyo unayoitaka ila cha msingi uwe na vigezo vya iyo comb unayoitaka
 
Kam skuli utakayochaguliwa in mchepuo wa EGM unaweza kubadilisha japo kuna MaH/M wengine wanazinguaga
 
Kwanza sijakuelewa,umetaja combination tatu yaani HGK,HGL na HKL baada ya hapo ukataja Somo BAM. Unataka kumaanisha nini?

Kimsingi,endapo ulichagua kwenye self form kwamba utasoma EGM as your first selection,na bahati nzuri matokeo yako yakawa mazuri bila Shaka utachaguliwa hiyo combination.

Kama ulichagua combination za arts na ukapenda kujiunga EGM utaomba kubadilisha combination endapo itakuwa hapo shuleni. Am a unaweza kuomba uhamisho (long process) kwenda shule nyingine yenye combination tajwa (itategemea kam utakubaliwa na shule unayohamia).

Au kama home wapo fresh,kagonge private hiyo combination unayohitaji
 
As long kwenye combination yko unaitaka utafaulu vizur then utaruhusiwa kubadilisha kutoka uliyopangiwa kwenda unayoipenda kama unapenda EGM hakikisha hesabu na geo uko vzur
 
Kwanza sijakuelewa,umetaja combination tatu yaani HGK,HGL na HKL baada ya hapo ukataja Somo BAM. Unataka kumaanisha nini?

Kimsingi,endapo ulichagua kwenye self form kwamba utasoma EGM as your first selection,na bahati nzuri matokeo yako yakawa mazuri bila Shaka utachaguliwa hiyo combination.

Kama ulichagua combination za arts na ukapenda kujiunga EGM utaomba kubadilisha combination endapo itakuwa hapo shuleni. Am a unaweza kuomba uhamisho (long process) kwenda shule nyingine yenye combination tajwa (itategemea kam utakubaliwa na shule unayohamia).

Au kama home wapo fresh,kagonge private hiyo combination unayohitaji
So ukiwa art's ktk 1st selection huwez jaza EGM
 
So ukiwa art's ktk 1st selection huwez jaza EGM
Unajaza vizuri tu. Kwan wewe si ndo ulijaza self form? Au mkuu hujafanikiwa kumaliza form four? Kuna Form ya kujaza baada ya kumaliza mtihani either utapenda kuchaguliwa chuo au advance na combination gani. Utajaza wewe mwenyew selection zako.
 
Kuhusu kubadili kombi inawezkana endapo shule uliyopangiwa ina iyo combination but proces ya kuxema uhame xkuxhaur xana unawza ukazunguxhwa xana
 
Back
Top Bottom