Njaa kali saana! boom jaman kulikoni

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
serikali na wizara ya elimu wamelala sasa, wiki ya 10 inaelekea wana UDSM hawana boom sijui wahusika wanalitazamaje hili, au mpaka maandamo ndo watumbuliwe? tumechoka na unafiki wa hapa kazi tu pasipo matendo tupeni pesa zetu!!! BOOOOOOM
 
Aaah! Jaman mbona mnakua sio wavumilivu twendeni na kasi ya mh?
 
serikali na wizara ya elimu wamelala sasa, wiki ya 10 inaelekea wana UDSM hawana boom sijui wahusika wanalitazamaje hili, au mpaka maandamo ndo watumbuliwe? tumechoka na unafiki wa hapa kazi tu pasipo matendo tupeni pesa zetu!!! BOOOOOOM
Wana UDSM sasa ungesema wana VYUO ungepungukiwa nini, yaan UDSM sijui Hua mnatabia gani?! Vyuo vyote boom bado......... Sorry kama nimekukwaza
 
kila chuo kinaratiba zake! vyuo vingine muda wa boom bado
 
serikali na wizara ya elimu wamelala sasa, wiki ya 10 inaelekea wana UDSM hawana boom sijui wahusika wanalitazamaje hili, au mpaka maandamo ndo watumbuliwe? tumechoka na unafiki wa hapa kazi tu pasipo matendo tupeni pesa zetu!!! BOOOOOOM
mkipewa hela mnaenda bash zmeisha mnalia nadhan love zone kule hapana wadau maana mnawakimbia madawili wenu kula desa kama una njaa
 
Wakuuu hongereni Aiseeee kwa kusaini kuna Msela alisaoni ile Qurtor ya kwanza ilienda mzumbe tarehe 19 .05.2016 yeye yupo Institute of Adult education mpaka sasa hajapata pesa
 
Back
Top Bottom