Namna ya kupata vyeti vyangu

tare

Member
Dec 2, 2014
96
39
Samahan wanajamvi mm jana wakati nipo safar kuelekea chuon nimeibiwa begi ambalo lilikuwa na vyeti vyote yaan academic certificates form four na form six pamoja na birth certificate HV kuna uwezekano wa kuvipata hvyo vyeti may be kurenew? Make I'm so stressed naomba msaada wenu
 
Katoe taarifa polisi ambao watakupa maandishi ya kuonesha umeibiwa vyeti hivyo. Halafu utaomba vyeti hivyo upya kwenye mamlaka husika.
 
Samahan wanajamvi mm jana wakati nipo safar kuelekea chuon nimeibiwa begi ambalo lilikuwa na vyeti vyote yaan academic certificates form four na form six pamoja na birth certificate HV kuna uwezekano wa kuvipata hvyo vyeti may be kurenew? Make I'm so stressed naomba msaada wenu
Yaani Bro Fanya Fasta uwahi Kupeleka Taarifa Katika Kituo Cha Polisi Kilicho Karibu Nawe.
Hapo Utapata Msaada na Utakuwa Umeshajiweka Salama Kuhusiana na Uhalifu Kwani Huenda Vyeti Hivyo Mwizi akaviuza na Vikatumika Kwa Mtu Mwengine, kwahiyo Akija Akigundulika utakuwa tayari unavyovielelezo Vya Jeshi la Polisi Kwamba Huhusiki na Uhalifu Huo! Na vile vile necta watapata uthibitisho kuwa umepotelewa kweli na vyeti.
 
Anzia Polisi,then Nenda Necta Pale Bamaga,utatoa Tangazo Gazetini Kwa Wk2. After All Necta Watakupa Cheti Cha Uthbtisho Kuwa Ww Ndo Mhusika. Note, Hautapewa Chet Kama Kile Kwa Kuwa Huwa Havitolew Mara2.
 
Nenda Police Kapate Lose Report

Cheti Cha Kuzaliwa Vinatolewa Tena Ukienda Posta Mpya Rita Tower, Necta Huwa Hawatoi Cheti Tena
Ila Utapewa Uthibitisho Ambao Utakuwa Ni Cheti Pia Utakuruhusu Kuhusu Usaili Ikiwa Utaitwa Unaonyesha
 
Back
Top Bottom