Kama maada inavyojieleza hapo juu mie ni mhanga wa hiyo kitu cheti changu cha kumaliza kidato cha nne (academic certificate) sikubahatika kukiona na hii ni kwasababu pindi vyeti vinatoka nilikua...
Naitwa Benjamin Samwel, ni mhitimu kidato cha sita 2016. Naomba kufahamu lini application za mkopo wa elimu ya juu zitaanza na mwisho ni lini.
Pia naomba msaada kuhusu namna ya kuapply, vitu...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,Ndugu wana jukwaaa namasikitiko makubwa na chuo hiki kinavowatesa watoto wa masikini kwa kuwacheleweshea hela zao za maraz toka loan bord hata pia wakisaini pesa...
Wana Jamvi, ningependa kujua kama mwanafunzi aliyesoma ECA, au Diploma in Accouting (GPA 4.7)..kama ataweza kuingia Acturial science UDZM... Kama haiwezekana... Bcom in accounting UDZM.. Bsc A & F...
habar wana jf.
je baada ya kuajiriwa huwa kunakua na makato ambayo serikali ilikulipia wakati ukiwa chuo yaani mikopo ,ni pesa ipi huwa wanakata? ,boom au pesa ya ada ambayo ni tofauti kwa wanafunzi.
Wizara na serikali ilifanya mabadiliko ya sera, ikafuatiwa na mabadiliko ya mtaala wa darasa la kwanza na la pili wa mwaka 2015 ambao unazingatia lugha rahisi kujifunza na umahiri wa mtoto...
Zaidi ya waombaji 1900 waliyoomba kozi za afya INTAKE YA APRIL hawakuchaguliwa kwa kozi walizoomba. Muda wa maombi umesogezwa hadi 26/4/2016 ili wajaribu kuomba kwenye vyuo ambavyo bado vina...
Bwana awe nanyi...
Baada yakuhustle Sana hapa mjini kwa kutumia elimu na professional niliyonayo nimedunduliza kiasi now am back home maana mjini pamekuwa pachungu...no money,sukari tunauziana...
Habari wakuu naomba ufafanuzi hizi ipi ina fursa nyingi katika ajira na pia ipi nirahisi kujiendeleza hapo baadae kama mtu ukitaka kujiendeleza na ipi ina mshahara mzuri .naomba kuwasilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.