Nimesomea HGE,Naomba ushauri

Kwa aliyesomea HGE anaweza kusoma masomo yote ya accounts, finance, economics, marketing na enterpreneuriship.
Hata ualimu ukipenda, politics na mengine mengi.

Kiufupi kama unataka kuelewa zaidi coz zinazoendana na masomo yako. Tafuta kitabu cha TCU kinachoitwa TCU guide book.
All the Best
 
Hakikisha unapata alama nzuri SUA kuna Agriculture economics and agribusiness kwa sababu hiyo kozi wanaombaga ni wengi.
 
Back
Top Bottom