Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa vile ilifika mahali nchi ikawa inaendeshwa kwa mihemko na mitazamo ya watu wachachena si taratibu ama misingi ndipo sijui kwa kipimo na kigezo kipi eti kikaanzishwa kitu walichokiità BIG...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu shkanooni!! Mimi ni muhitimu kidato cha nne mwaka 2012 niwe muwazi matokeo yangu hayakuwa mazuri sana Nina C mbili na D kadhaa...... nilikwenda kusoma Sheria UDSM ambapo nilifaulu vizuri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Reading and Studying Textbooks: As soon as you buy your textbook for a class, give yourself a head start before going to class. Read the Table of Contents, prefaces, introduction, and any other...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naibu Waziri Ofisi Ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo, amewatoa hofu wahitimu wa Kozi ya Ualimu ambao wamekuwa wakisubiri ajira kwa muda mrefu. Akizungumza na...
4 Reactions
36 Replies
15K Views
Salam ndugu, nina mdogo wangu alimaliza form four mwaka 2006,akapata matokeo yafuatayo:- Civics-B, Kisw-D, English-D, History -C, Chem-B, Bios-B, Agriculture Science-C, Geog-D Math-F...
0 Reactions
35 Replies
14K Views
Anaweza kusomea nini kwa matokeo haya. 1.Civics-D 2.History-D 3.Geography-D 4.Kiswahili-C 5.Biology-F 6.B/Math-F 7.Physics-F 8.Chemistry-F 9.English-D Division four ya 29 mwaka 2010. Kurudia amekataa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni kwa wahitimu wa kidato cha sita. Je, mtu aliyechaguliwa kwenda alafu asiende atakumbana na madhara gani huko mbeleni? Je, hatachaguliwa kwenda chuo? Naomba majibu yasiyo na jazba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF wenye kujua na wenye uhakika wanisaidie kujua, ajira mpya za walimu zitatoka lini, maana nashindwa kuelewa sababu matamko yamekuwa mengi ila matendo hakuna. Mwenye kujua tafadhali.
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Kila nikiangalia vyuo vyetu hapa Tanzania nione katika Ubora wa vyuo bora Duniani hata 100 bora hatupo hivi tatizo nini wadau?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye tamthilia soft copy iwe Ngoswe au yoyote tuwasiliane tafadhar
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Walioko nje wanalia wanataka kuingiaaa Ndani. Pia walioko Ndani wanalalamika mshahara mwezi huu vipi hazina? Unajifunza nini hapo kuhusu hii field ya ualimu ambayo haina hata marupurupu ...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Naomba tusaidiane waungwana kwenye tofauti ya mtu aliyekunywa bia na aliyekunywa soda.Mimi naamini kua aliyekunywa bia ametumia kinywaji ambacho kimetokana na natural chemistry na aliyekunywa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari za muda huu,jamani mimi naomba kujuzwa juu ya vigezo vinavyotumika kumpandisha cheo mwalimu,maana kwangu ninaona kama ni jambo la bahati nasibu. Mfano,kuna waraka ulotoka wa 2016...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi,Nimesikitishwa sana Rafiki yangu namdai nilimkopesha mtoto wa masikini mkopo wake ulienda mzumbe amefaiti mpaka Tarehe 18 aliusaini pale insititute of adult education ili uingie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nauliza kama mtu ajapangwa jeshi alafu akaenda kambi yoyote watamrudisha au?
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Ndugu wanajamvi,Nimesikitishwa sana Rafiki yangu namdai nilimkopesha mtoto wa masikini mkopo wake ulienda mzumbe amefaiti mpaka Tarehe 18 aliusaini pale insititute of adult education ili uingie...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Za cku wana membr..Npo udom 1st yr nilikuwa n taka kujua kma una weza kukaa kitaa bila kulipa dirct cost au hata km una kaa una takiwa kulipa ila ada na lipiwa na body y mkopo..naomba mnijuze tafzl
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Mitihani ya mock mkoa la 7 ukichapwa ubaoni.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tetesi ni mwezi April kaeni mkao wa kujiandaa!!!
1 Reactions
34 Replies
15K Views
Back
Top Bottom