Poleni na majukumu wana JF, Mie ni kijana niliyemaliza chuo hivo ninapenda kuendelea na masomo kwa ngazi ya Masters. Nimefanikiwa kuomba admission UNESCO-IHE kwa ajili ya Master programm...
Mimi kama ni mfanyakazi nimekopa katika taasisi za kifedha kama CRDB, NMB, NBC, BYPORT, FINCA, NA FAIDIKA.Baada yaikapunguza mollary ya kazi yangu na kupelekea kuacha kazi . Je ninaweza...
Ni wiki nzima sasa tangu Loans Board wafungue maombi ya mkopo kupitia OLAS. Kinachokera watu wanataka wawahi jeshini halaf kila ukiingia OLAS ukaweka mpesa code unaambiwa haipo kwenye mfumo wao...
Habari zenu wana JF,
Mi kuna kitu nahitaji kujiunga bachelor this year ila muda nimeingia nimekuta deadline ni leo.
Je kuna uwezekano ukafanya application direct katika chuo unachotaka kuapply...
Kingereza ni somo kama masomo mengine: Hesabu, Jiografia,n.k.Kwa kawaida mtu ukifeli somo mojawapo kati ya hayo unaweza kuitwa kilaza.Unaweza ukaitwa kilaza wa hesabu,jiogragia,n.k.
Swali:Mtu...
Wakuu habari zenu.
Kutokana na kauli zinazoendeelea katika jamii yetu ya sasa kwa kusema wenye division three ni vilaza nimepata tetesi ya kuwa wenye division three form wa mwaka Jana...
Kiukweli hiki kimya kinaboa sana maana kila ukisikia ni soon zitatoka. Hiyo soon ni lini? Maana soon inamfanya mtu asijipange kwa tushughuli twingine.
Kwani hiyo soon maana yake nini?Ni bora...
Tukumbushane jamani. Deadline inakaribia ya kufunga CAS -NACTE. Deadline ni 31ST MAY, 2016.
TUFANYE MAREKEBISHO YA MWISHO.
Mwenye taarifa za kusaidia waliiomba katika lala salama hii tufahamishane!
Ndugu zangu ma GREAT THINKERS
naomba niwaulize swali moja tu leo juu ya uhalali wa baadhi ya wapinga maendeleo ya kielimu ktk JF kukiita chuo kikuu cha dodoma kuwa ni CHUO CHA KATA,ningependa...
Serikali imeeleza mkakati wa kuzirudisha shule 33 maarufu katika ubora wake ili ziweze kufanya vizuri kama ilivyokuwa zamani.
Mkakati huo ulielezwa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na...
MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2016.
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linautangazia umma...
Habari wakuu.
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nikisomea shahada ya Sayansi ya Uhasibu na Fedha yaani Bsc.in Accounting and Finance (Bsc.AF).-ARU
Nilipendelea kufanya mafunzo ya vitendo kwenye...
habari watanzania.nmechaguliwa coz tajwa hapo juu,pale dit,diploma.ila kuna ndugu huku ananishaur nikabadlshe na kusoma civil.anasema hailipi.kwa wanaoifaham vp soko lake?inalipa au nichanje mbuga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.