Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Kwa wale mnaopokea mikopo boom na hela za kutosha kutoka nyumbanj tafadhali tumieni vizuri jamani wengine tunatafuta hata wa kutupa walau buku kumi chuoni tunakosa.
Na wenyewe mnajua maisha ya chuo yalivyo magumu kila pesa unakuta mtu anapewa laki 3 kila mwezi kutoka kwa familia zao lakini wanatumia ndivyo sivyo wanalewa, wanagharamia wasichana, kuhonga, kujifanya mapedeshee
Hiyo mlio nayo nayo ni neema ya Mungu wengine tunatamani tupate fedha huku chuo kama nyie hatupati.
Jamani ni hayo tu