Ni nzuri na inalipa sana kwa degree! Ila uassistant au utechnician kazi yake kuuza dawa tu! Nipm nikusaidie Mimi ni Tutor wa masomo hayo.Habarin za leo wakuu...langu ni moja tu leo, Naitaji kusoma pharmacy, tatizo bado sijajua working places zake ni zipi tofauti na uuzaji wa madawa
Msaada tafadhali wakuu, Asante
Ni nzuri na inalipa sana kwa degree! Ila uassistant au utechnician kazi yake kuuza dawa tu! Nipm nikusaidie Mimi ni Tutor wa masomo hayo.
Diploma nzuri hiyo Mkuu kuna MTU namjua kamaliza tu kapata deal aghakan hospitalDiploma mkuu
Hakuna kozi za afya mbaya zote zinalipa.
Kama unazungumzia shahada,chuo cha serikali chenye pharmacy ni kimoja tu.Qualification jaribu kupitia kitabu cha TCUWakuu naomben kujuzwa vigezo vya kiufaulu kwa mtu kusoma pharmacy. Na je? Kwa aliyesoma CBG anaweza chaguliwa kwenye vyuo vya serikal.