AsanteniKwaKuja
Member
- May 31, 2016
- 6
- 1
Sisi wanafunzi wa Masters in information studies.University of Dar es salaam. DEPARTMENT OF INFORMATION STUDIES*Course Coordinator Prof. NAWE Tulitakiwa tu-graduate mwaka 2015 disemba.
Walimu wame delay risechi mpaka hatujafanikiwa ku graduate na mpaka 2016 hii hatuelewi hatima yetu.Tunazungushwa nenda rudi.
Tunaomba Mh.Waziri wa elimu na viongozi wengine muingilie kati tuweze kumaliza hii shule 2016.Ada yao Milion 6, tumelipa bado tunalazimishwa kulipa extension fee ambayo sio kosa letu.
Tunaomba serikali ya JPM itusaidie.