Bodi ya mikopo (Heslb) mpaka sasa hawajatoa fomu au maelekezo kwa wahitimu kidato cha sita 2016 na watu wengne wenye uhitaji wa ufadhiri wa
masomo kwa mwaka wa masomo 2016/17 tofaut na ilivyozoeleka
Wapo vijana waliochaguliwa kujiunga na jeshi la kujenga Taifa jkt na wanapaswa kuripoti kuanzia tarehe 1-5 mwezi ujao yaani siku 8 mbeleni lakini mpaka sasa hawajajua hatma yao na Bodi ipo kimya mpaka sasa bila tamko lolote wala tangazo lolote
Je kuna utaratibu gan au kizungumkuti gani hadi mpaka sasa bodi ambayo imeanzishwa kisheria na bunge kwa ajili ya kusaidia watu wenye uhitaji ufadhiri wa serikali ili kutimiza malengo yao kuwa kimya
Je wanafunzi ambao wamechaguliwa na mafunzo ya jkt ni vp watapata muda wa kushughulika na mikopo hii kwa hz siku nane walizonazo mtaani
Tafadhari wahusika liangalieni hili maana ukimya wa bodi hauna tafsri inayoelezeka