lobikoki loti Member Dec 5, 2014 69 27 Jun 3, 2016 #1 Nimemaliza kidato cha sita nasubiri matokeo ila ningependa kujua course nzuri ya kusoma chuo kikuu tofauti na MD kwa PCB. Ahsante wakuu
Nimemaliza kidato cha sita nasubiri matokeo ila ningependa kujua course nzuri ya kusoma chuo kikuu tofauti na MD kwa PCB. Ahsante wakuu
Mwanamaji JF-Expert Member Apr 20, 2013 2,904 4,513 Jun 3, 2016 #2 Inategemeana wewe unapenda nini, ila PCB unaweza ukasoma hata IT.