Wakubwa salamu zenu kwanza.
Naomba kuuliza Ni Kweli Leo Tarehe 05/May 2016, Ndo ilikua mwisho wa kutuma Maombi .
Naomba yule mwenye ufahamu zaidi aje hapa na maelezo please.
Natanguliza shukrani
WANAFUNZI wapatao 400 wa Chuo cha Uhasibu Arusha wako hatarini kufukuzwa masomo baada ya Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, kuwathibitishia kuwa hawawezi kupata mkopo wa Bodi ya...
UDSM chuo changu cha zamani ni wakati muafaka wa kuanzisha course ya medical law au medical ethics ...
Natambua uzoefu wa UDSM katika tasnia ya sheria ...
Pia natambua uhitaji mkubwa wa...
IN SUMMARY
Jana wawakilishi wa wanafunzi hao ambao waliambatana na viongozi wa
Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), walisema wanapinga pia hatua ya kutimuliwa chuoni.
Dar/Dodoma. Sakata Chuo...
Wasalaamu Wanajamvi.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, kwa wale wote waliosoma uchumi advance (EGM, HGE na ECA) naombeni nisaidie majina ya vitabu vinavyotumika hasa na form five and six.
sijui...
Kuna tofaut gani kati ya bachelor degree na higher diploma ? Nimeaona wote ni nta level 7, je higher diploma akimaliza anaweza kusoma masters,pili wote wakimaliza chuo wanaajiriwa cheo kimoja?
habar za mda kama huu wakuu
Naomba kuuliza katika afrika ni vyuo vipi 10 vikubwa kabisa kuanzia majengo mpaka idadi ya wanfunzi wanaosoma katika vyuo hivyo??
natanguliza shukran kabla ja jibu...
Habari wanajf,
Nauliza kuna kituo cha mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu mjini iringa.
Na kama kipo naomba maelekezo ni wapi maana mood ya pepaz imenirudia nataka nimalizia my...
Kujiunga Vyuo vikuu huhitaji kupitia kidato cha sita waweza jiunga kupitia kusoma diploma,FTC AU sifa zingine zinazofanana na hizo.Mliofeli form form au shule ya msingi fursa hiyo itumieni...
Juzi kati niliota kuwa mtihani wa form six unarudiwa,tatizo aliyetangaza si waziri huyu(Prof Ndalichako).
Hii ya kuota inaweza kuwa imechangiwa na kusikia kuwa pepa imevuja sana hivyo akili...
Ndugu zangu naomba kunukuu "Mwanafunzi amepata division four na anapewa mkopo..!!!!" Mh Rais alipokua UDSM tarehe 02/06/2016.
Naomba kuuliza kwa wale Tuliopata Div 4, let say kuanzia point 26,27...
Natanguliza heshima kwanza.
Kwa wanaofahamu tarehe ya ya kuanza kuomba mikopo mpiya kwa wanafunzi wa kidato cha sita 2016/17 tunaomba watujulishe. Je sasa maombi yameanza? ili tuanze kufanya...
Katika sekta ya elimu kwa kipindi kirefu sasa kumekumbwa na changamoto mbalimbali husani ,sera na uendeshaji........
Lakini mbali na siasa ambazo zimetawala elimu yetu lipojambo kubwa kabisa la...
Mwaka jana serikali walitangaza nafasi za course ya COMMUNITY HEALTH katika ngazi ya CHETI KWA MWAKA MMOJA , kupitia mfumo wa udahili wa pamoja wa nacte na wakahainisha sifa zao , na kwamba hao...
Habari za muda huu wakuu samahani naomba kuuliza, nimeapply community health mwezi wa nne. Je hivi ni mwezi wa ngapi itatoka taarifa kwa wale waliochaguliwa.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.