Biomedical Equipment Engineering

Biomedical Equipment Engineering

BJB FC

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
2,179
Reaction score
2,512
habari watanzania.nmechaguliwa coz tajwa hapo juu,pale dit,diploma.ila kuna ndugu huku ananishaur nikabadlshe na kusoma civil.anasema hailipi.kwa wanaoifaham vp soko lake?inalipa au nichanje mbuga?
 
kasome hiyo ina watu wachache sana so pesa nje nje, hiyo cjui civil mpelekee magufuli
 
blaza acha ushamba facult hiyo ni mihela hapa blaza wangu namwonea gere hajamaliza ni full mipango ya mihospital kumng'ang'ania NI DEALLLLLLLL
 
Kama ipo moyoni na unaipenda hio biomedical nenda mana ni course mpya na biomedical engineers wanahitajika mno utapga na umeme ndani yake
 
habari watanzania.nmechaguliwa coz tajwa hapo juu,pale dit,diploma.ila kuna ndugu huku ananishaur nikabadlshe na kusoma civil.anasema hailipi.kwa wanaoifaham vp soko lake?inalipa au nichanje mbuga?
Tatizo BEE haina degree Tanzania, hata pale pale DIT wanapotoa hiyo diploma, so fikiri mara mbili.
 
Anaweza kupiga hiyo akaajiliwa sekta ya afya serikalini then degree akasomea kozi ya afya pale muhas
 
Kwahyo mantiki yako ni nini hapa ?
mbona ni hoja isiyo na mshiko tukitumia mawazo chanya ?
 
Umenielewa nilichoandika au.umekurupuka rudia kusoma post ya mleta mada halafu usome ya nilichoandika
 
habari watanzania.nmechaguliwa coz tajwa hapo juu,pale dit,diploma.ila kuna ndugu huku ananishaur nikabadlshe na kusoma civil.anasema hailipi.kwa wanaoifaham vp soko lake?inalipa au nichanje mbuga?
Nenda hiyo kozi IPO poa mwanawane vinginevyo soma structure engineering kuhusu civil usisome
 
Tatizo BEE haina degree Tanzania, hata pale pale DIT wanapotoa hiyo diploma, so fikiri mara mbili.
Degree wanatoa kwa east africa makerere uganda pia pale uganda kuna kyambogo university wanatoa diploma 2years
 
Back
Top Bottom