Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Wakuu habari zenu.
Kutokana na kauli zinazoendeelea katika jamii yetu ya sasa kwa kusema wenye division three ni vilaza nimepata tetesi ya kuwa wenye division three form wa mwaka Jana hawatachaguliwa kwenda advance badala yake ni two na one Kuna ukweli kwa anayejua atufaamishe watu tuanze andaa ada za wenetu kwenda private na three zao