Habari zenu wana JF,
Mi kuna kitu nahitaji kujiunga bachelor this year ila muda nimeingia nimekuta deadline ni leo.
Je kuna uwezekano ukafanya application direct katika chuo unachotaka kuapply au mpaka nacte wenyewe wakuchague au wataextend muda maana tangu nimetuma hela mpesa mpaka sasa hivi cijajibiwa wala sijaletewa ile transaction Id nawapigia wananiambia nisubiri lakini wapi, je wataextend muda? au kuna uwezekano wa kuapply direct from the university that u prefer?
Nisaidieni jamani niko njia panda