kibona284n
New Member
- May 16, 2016
- 3
- 2
Kiukweli hiki kimya kinaboa sana maana kila ukisikia ni soon zitatoka. Hiyo soon ni lini? Maana soon inamfanya mtu asijipange kwa tushughuli twingine.
Kwani hiyo soon maana yake nini?Ni bora serikali ingetoa ajira mtu ajue amepangiwa wapi hata kama kuripoti ni mwakani kuliko mtu unakaa kusubiri soon soon.