Mafunzo ya vitendo (Field) shirika la SUMA JKT

Mapfa A

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
250
258
Habari wakuu.

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nikisomea shahada ya Sayansi ya Uhasibu na Fedha yaani Bsc.in Accounting and Finance (Bsc.AF).-ARU
Nilipendelea kufanya mafunzo ya vitendo kwenye shirika Hilo ili kuongeza ufanisi kwenye taaruma yangu.

Nilikuwa naomba ushauri kwa ambaye amesha wahi kufanya Field sehemu hiyo kuhusu ufanisi nzuri na umahili ambao naweza kuupata (Kama mwanafunzi) ndani ya shirika Hilo ikilinganisha na taasisi nyingine kama bank na kampuni nyingine.
NAOMBA KUWASILISHA.
 
Mkuu unaweza ku edit post yako kwa ku click post yako halafu bitatokea dots tatu juu kulia kwa simu yako ikiwa watumia simu, bonyeza hizo dots zitakupa option ya ku edit
 
Back
Top Bottom