Msaada: Msahara wa mwalimu mwenye shahada ya kwanza

3baed

Member
Feb 4, 2016
21
18
Hivi mshahara take home ya mwalimu mwenye degree anaeanza kazi ni shillingi ngapi.( Nauliza mshahara baada ya makato)
 
Laki tano na arobaini na kitu...Tafuta kuna uzi umo humu kwa uhakika zaidi ila inacheza kwenye laki tano humo humo
 
Back
Top Bottom