Ni wiki nzima sasa tangu Loans Board wafungue maombi ya mkopo kupitia OLAS. Kinachokera watu wanataka wawahi jeshini halaf kila ukiingia OLAS ukaweka mpesa code unaambiwa haipo kwenye mfumo wao.
Kama Loans Board wameshindwa kuhandle application za mkopo ni kazi basi wapewe wengine maana watu wana shughuli kibao za kufanya ila wiki nzima sasa tunahaha na application za mkopo.
Kuweni serious, muda unaenda na hakuna jipya.