Kama pass zitakua nzuri omba BAF Mzumbe au BCOM ya UDSM, Kama huna uhakika ajira baadae uombe ualimu wa Uchumi au hesabu! Ila nakushauri uwe na mawazo ya kujiajiri.
mkuu kuna yyt unapga hapo?1. bsc irrigation &water resources engineering
2.bsc agriculture engineering
3. agriculture economics&agribussiness
zinapatikana Sua....
kwa no 1 na 2 lazima ufaulu geog&mathematics,pia lazima uwe umesoma physics olevel na ufahulu wa minimum D.
kwa hiyo ya 3 lazima uwe na ufaulu wa
economics&geog
Karibu Actuarial Science Udsm huta jutia ila lazma uwe na div 1.
mkuu nakuchek pmKaribu Actuarial Science Udsm huta jutia ila lazma uwe na div 1.![]()
yec ninapiga hiyo bsc.irrigation&water resources engineeringmkuu kuna yyt unapga hapo?
Kama kwenu ni watu wa channel soma BAF-MU au BCOM-Accounting UDSM/IFM/TIA ila kama ni wa maisha ya kawaida hakuna channel ya kueleweka piga Education in Economics and Mathematics utakua na uhakika wa ajira uku unatafuta mishe zingine
duh afadhal ngj nkuchek pmyec ninapiga hiyo bsc.irrigation&water resources engineering