mamba1
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 466
- 248
Mimi kama ni mfanyakazi nimekopa katika taasisi za kifedha kama CRDB, NMB, NBC, BYPORT, FINCA, NA FAIDIKA.Baada yaikapunguza mollary ya kazi yangu na kupelekea kuacha kazi . Je ninaweza nikachukuliwa hatua za kutaka kuilipa binafsi wakati nimeshaacha kazi? Naomba michango ya kistaarabu. Na ukizingatia huko kwenye mabenki mdhamini mkuu ni mkurugenzi huku kwingine mdhamini ni mshahara wako