Kwa member wa Rotary Club

idrisabizzy

Senior Member
Dec 5, 2015
112
48
Poleni na majukumu wana JF, Mie ni kijana niliyemaliza chuo hivo ninapenda kuendelea na masomo kwa ngazi ya Masters. Nimefanikiwa kuomba admission UNESCO-IHE kwa ajili ya Master programm nimefanikiwa kupata admission, hivo kwasasa natafuta masters scholarship ndipo nikaipata ROTARY MASTERS SCHOLARSHIP, na moja ya vigezo vyao kwenye fomu yao ni lazima mtu mmoja kutoka kwenye rotary club iliyopo ndani ya nchi yako akujazie ili uweze kupata hiyo scholarship. Na mie kwakua ndo kwanza nimemaliza sio mda mrefu na simfahamu member yeyote wa Rotary club. Naombeni msaada wenu kwa member yeyote yule wa ROTARY CLUB aweze kunisaidia kwa hili, nahitaji anisaidie kuijaza hiyo form ya Rotary Masters scholarship.
Nahitaji sana msaada wenu. plz aliye tayari kunisaidia nitaomba anitafute kwenye namba yangu 0654797526
Asante.
 
Back
Top Bottom