CAS wameongeza muda wa kutuma maombi ya usajili

CTX

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
1,273
984
naona Kuna mabadiliko ya mwisho wa kutuma maombi kwenye ngazi zote
3bc681834f46f12e0fc1fd406337506a.jpg
 
Kwa niaba ya NACTE, nawakumbusha kuwa: deadline ya kutuma maombi kwa ngazi ya certificates na diploma imesogezwa mbele mpaka tarehe 03/06/2016.

Hivyo kama una ndugu, jamaa, rafiki, au mdogo wako aliyekuwa anataka kwenda kusomea afya, ualimu, mifugo, misitu n.k mwambie bado ana muda.

<b>Na kama bado hajalipia application fee basi mwambie nina three pending confirmation code ambazo naziuza kwa discount ya 5000/= kila moja.</b>

<b>NB: Maombi yote yanatumwa kupitia Central Admission System, hakuna kutuma kwa njia ya posta tena.</b>
 
naona Kuna mabadiliko ya mwisho wa kutuma maombi kwenye ngazi zote
3bc681834f46f12e0fc1fd406337506a.jpg
EXTENSION OF APPLICATIONS FOR
ADMISSION THROUGH CENTRAL
ADMISSION SYSTEM (CAS)
This notice serves to inform the
Public and applicants for admission
that, the National Council for
Technical Education (NACTE) has
extended time up to 3rd of June, 2016
for applications of admission into
Certificates, Diploma, Higher Diploma
and Bachelor Degree offered by
Technical Institutions for Academic
year 2016/17.
This extension is made due to various
challenges experienced by applicants
while applying for admission in the
recent days.
The Council is therefore encouraging
all interested applicants to use
extended time to apply and those who
were registered to finish their
applications to programmes choices.
Note that, there will be no further
extension for application after the
elapse of this set deadline.
ISSUED BY;
EXECUTIVE SECRETARY
30 th May, 2016
 
Vipi kuhusu kwa tunataka kuspply bachelor degree deadline ni hyohyo 03/06?
 
Sorry naomba kujuzwa kwa sie ambao tunahitaji kuunga bachelor but bado hatujafanya mtihani inakuaje hapo wakuu tuappl au baada ya kupata matokeo tutapata nafaasi ya kuapply?maana bado cjawa diploma holder mpaka mwezi July
 
Back
Top Bottom