Deadline ya CAS- NACTE applications-2016

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Tukumbushane jamani. Deadline inakaribia ya kufunga CAS -NACTE. Deadline ni 31ST MAY, 2016.
TUFANYE MAREKEBISHO YA MWISHO.
Mwenye taarifa za kusaidia waliiomba katika lala salama hii tufahamishane!
 
Usiishi kwa mazoea...' Elewa mitaa usikalili... 'Yupo anko magu sahiv.
 
Kwa alieapply ktk selection vyuo vikuu (University) vimeonekana kwny profile pind unafanya select tujuzane Kwa aliofanya please
 
Daaaah mi cjachagua mpk sasa maanake vyuo kama udsm udom havijafunguliwa mpk sasa cijui ndo 50 inanihusu tena
 
Tukumbushane jamani. Deadline inakaribia ya kufunga CAS -NACTE. Deadline ni 31ST MAY, 2016.
TUFANYE MAREKEBISHO YA MWISHO.
Mwenye taarifa za kusaidia waliiomba katika lala salama hii tufahamishane!

sasa ni vipi kama chuo nachotaka hakija wekwa NACTE maana hata mimi sielewi nina diploma nataka kujiendeleza lakini chuo nachokitaka sikioni sasa sijui chochote
 
WADAU NAOMBENI MSAADA KWA SABABU NACTE WAMEWEKA VYUO VICHACHE NA VYUO NAVOTAKA KUAPPLY HAVIJAWEKWA KAMA DIT , UDOM, RUCO UDSM, SUA ETC NA DEADLINE INAKARIBIA KWANI SIWEZI KUSUBIRI TCU NIACHANE NA HAO NACTE?
 
Nadhani vyuo ulivyovitaja haviko NACTE kama sikosei. Universities are not technical education colleges in the NACTE sense. I stand to be corrected!
 
Wenye diploma wanatakiwa kuomba kupitia TCU deadline ni trh 31/5

Sijui unafanya haya kwa kutokujua au ni nini, what a BIG lie and misleading statement. Nasisitiza, hakuna MTU YEYOTE MWENYE DIPLOMA atakayeomba chuo kupitia TCU. Wote wataomba kupitia NACTE. Hiyo tarehe 31 may ni deadline ya wenye diploma wanaotaka kusoma kwenye vyuo vya ufundi vinavyotoa kozi mbalimbali ngazi ya digrii, mfano DIT, MUST na ATC.
 
Hahahaha1 haya buana ila mdg wng amemalza diploma mwaka jana ameomba kupitia na wala sio vyuo vya ufundi
 
Back
Top Bottom