Naomba anayejua anifahamishe wapi naweza kupeleka kopi ya cheti changu ili wacertify, make nina abroad award sasa ili kuifanyia valuation wanahitaji a certified copy.
MKASA WA RAIS KICHAA
Miaka 11 iliyopita, mwanamuziki wa Reggae nchini Zambia, Maiko Zulu alitoa wimbo unaoitwa Mad President (Rais Kichaa). Wimbo huo ndiyo uliobeba jina la albamu yake aliyoitoa...
Akihojiwa na Ayo tv Jana, Msukuma alidai kwa walichokifanya watu wanaodaiwa ni askari kumuonyesha bastola mhe Nape ni sahihi kwani kitambulisho cha askari yeyote ni bastola au bunduki hivyo Nape...
Wanajamvi
Jana nifuatilia hotuba ya Raisi wetu Kipenzi! Inaonekana kafanya research watu wa mjini hawamuelewi!
Ameona wa vijijini wanamuelewa saana! nimeshangaaa, Tanzania yetu iko...
Watu wengi, tumeshindwa kuielewa Clouds Media Group, haswa baada ya kutangaza mgogoro na mkuu wa mkoa wa Dsm Rc Makonda, na baada ya hapo wameng'oa hata picha zake zilizokuwepo kwenye opening za...
Huwa sielewi ni nini hasa faida ya njia hizo. Maeneo mengi utakuta zimegeuzwa maeneo ya biashara tofauti na kisudi lake. Hii ni pamoja na vituo vya daladala. Kuna haja ya kuingia gharama kujenga...
Mimi nina kaduka mtaa fulani hapa Dar es salaam, kwakuwa nipo uswazi mbele ya duka langu kuna mti mzuri wa mwarobaini na kivuli chake ambao wamama na wadada wa mtaani kwetu hupumzika mchana baada...
Wadau kuna wizi mpya unatumika naomba niwaeleze. Tukio limetokea Tegeta, Dar leo 26 Machi 2017 saa 8:00 mchana huu.
Nilipaki gari pembeni mwa barabara Tegeta kwa Ndevu upande wa kanisa, ndani ya...
Muheshimiwa Rais kama upo humu na unatumia Id fake kama sisi wengine au kama kuna watu wako wa karibu wakufikishie ujumbe huu
Usione kimya juu ya sakata la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...
Kwa wale wanaofuatilia Taarifa za habari ITV mtakubaliana na mm kuwa karibu kila siku huyu reporter lazima awe na story ya ku report.
Ukiangalia mikoa mikubwa inakosa habari lakini huyu jamaa...
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ulioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika...
Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la...
Nakumbuka tarehe 25 October 2015 asubuhi ya jumapili ile niliamka mapema ili niwahi kuipigia kura rang ya mboga za majani (kijani) nikiwa na matumaini makubwa bwana yule akishinda vijana mliosoma...
I sulute you all!...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya hapa ndani,nimegundua kuna makundi makuu mawili.
Wanaoitetea serkali lakini pia wanao ikosoa;jambo ambalo ndio maana ya marumbano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.