Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. Mkuu wa Majeshi nchini, Evance Mabeyo amesema Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linadaiwa Sh3 bilioni na Shirika la Umeme nchini na kesho (Jumatatu) watapunguza deni hilo ili...
8 Reactions
70 Replies
10K Views
Mzuka sana wanaJamvi! Mimi sinaga bahati kabisa. Kila usiku nalala malango wazi tena fofofo chakustaajabisha sivamiwi. Sometimes natembea usiku maksudi tu magomeni, temeke, Tandika, bonde la...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
kwanza naanza kusema sio wadada wote bali asilimia tisini na tano ya wadada wanaotumia magari katika jiji la dar es salaam ndio chanzo cha ajali lakini cha kushangaza wanaume wa dar es salaam...
11 Reactions
106 Replies
10K Views
habari wanajukwaa!! kila siku nimekuwa nikijiuliza ni kwanini haya makampuni ya tv (ving'amuzi) kwenye vifurushi vyao huwa wana weka tulipie kwa mwezi/nusu mwezi tu?. Kwanini wasiweke vifurushi...
4 Reactions
13 Replies
15K Views
Rais wetu anahitaji maombi sana kuna watu wanamtupia uchawi na kumloga. Tumwombeeni sana ili wanaomtupia mapepo washindwe wao na mapepo yao
6 Reactions
126 Replies
9K Views
Majuzi Mwenyekiti wa Riadha Kitaifa Ndugu Mtaka aliwaaga wanariadha wetu waliokwenda Uganda kwenye mashindanoya riadha na kutuahidi kuwa safari hii medali ni lazima na wamepelekwa wanariadha wengi...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Wanabodi nilikua napitia page ya Nape insta cha kushangaza nikaona maneno ya hapa kazi tuu yameondolewa ikiwamo yale yanayomtambulisha kama waziri wa habari. Hii ina maana gani wakuu. Nape...
10 Reactions
65 Replies
9K Views
Sheria za utumishi wa UMMA, zinakataza mtumishi wa umma kuikashifu serikali. Na kwa kufanya hivyo anatakiwa afukuzwe kazi. Je kwanini hawa: 1.Prof Kitila Mkumbo wa UDSM 2.Prof Ngowi wa Mzumbe...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wenye uelewa naomba wanielimishe juu ya hili, maana nina mpango kuweka label yenye bendera ya taifa kwenye bidhaa zangu..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa waliopo Mtwara mjini naombeni mnijuze mahali nitakapopata matofali ya aina hiyo. Ninapoongelea Hydrofom namaanisha ya aina hii Wengi wanayachanyanya na yale ya interlocking ambayo huwa na...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa namna ya kuweka security kwenye cm ili iwe na users mbili yaani public and private user
0 Reactions
2 Replies
863 Views
from around 6 months, milk feeds alone can no longer fulfill your baby's increasing nutritional needs. It's important to start to introduce appropriate complementary foods.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
NAAM,!NI KUMI NA MATATU JAMBO LA KWANZA Tanzania ni miongoni mwa nchi chache sana duniani zenye mti uitwao MPINGO (African Blackwood tree)ambao unashika rekodi kuwa mti mgumu sana na wenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kawaida yangu ilivo,ni kutoa ushauri tuu. UKAWA mnazungukwa,tena mnazungukwa vibaya sana. Ukomavu wa kisiasa wa ccm,wanautumia vilivo kulazimisha kutangaza JITIADA za awamu hii kupitia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu Wapendwa Kuna huyu bosi wangu amekuwa akinisumbua kwa muda sasa..Baada ya mbinu zake za kunitaka kimapenzi kugonga mwamba akaamua kuniletea visa na fitna ofisini..Ni fitna zake ndo...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
SERIKALI imetoa siku 30 kwa halmashauri nchini kuwalipa walimu wote waliohamishwa kwa uonevu na kupiga marufuku tabia ya kuhamisha walimu kwa kukomoana. Pia walimu wakuu na wakuu wa shule...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kidumu chama cha mapinduzi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau hasa wa mji wa Moshi? Naomba kufahamishwa kiwanja kipya kizuri hasa kwa kufanya starehe ya vinywaji na mziki kwa maeneo ya Moshi mjini. Naombeni taarifa zenu tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kinondoni kila katika kila vijana 10 wakipita 6 kati yaooo matejaaaass....duh hatari...ina maana katoka kipindi cha miaka miwili watu wengi watakua mateja...upatikanaji wa unga syo tabu...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom