Beberu-mpya JF-Expert Member Feb 14, 2017 216 104 Mar 26, 2017 #1 Najua familia zetu za kiafrika hujawa na tamaa kiasi kutokutambua nipo Dar es salaam nafanya kazi gani sasa embu nisaidieni hapa nini kitatokea? Attachments FB_IMG_1490548610996.jpg 67.3 KB · Views: 19
Najua familia zetu za kiafrika hujawa na tamaa kiasi kutokutambua nipo Dar es salaam nafanya kazi gani sasa embu nisaidieni hapa nini kitatokea?
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Mar 26, 2017 #2 Japo itakuuma inabidi tu upotezee ukianza malumbano unaweza jiongezea matatizo.