ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,643
- 2,784
Tanzania ya viwonder hiyo Mkuu.
Umeme anawasha mbunge?mbunge wa Bukoba Mjini Rwakatare kazi imemshinda ameshindwa kabisa kuongoza hilo jimbo bora tumrudishe Kagasheki
Labda mbunge anakaimu nafasi ya meneja TANESCO MkoaUmeme anawasha mbunge?
Kwa hiyo deni la Zanzibar ndo Rais hana kazi?
Bado utasema Arusha hakuna maendeleo na mbunge mlimuweka ndani wenyewe!
Hii nchi ina mambo ndugu yangu!
Weka akiba ya maneno.
Wamekula rambirambi zao zote yule Baba kwa Mungu sio kuchomwa atageuzwa kuniIvi Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini anajitofautishaje na mtangulizi wake? Au wote ni chuma ulete!
Siku hizi Rwakatare amekuwa boss wa TANESCO?mbunge wa Bukoba Mjini Rwakatare kazi imemshinda ameshindwa kabisa kuongoza hilo jimbo bora tumrudishe Kagasheki
Mbunge na Tanesco uhusiano wao ni upi? Umeme hukatika mpaka Dar es Salaam kwenye Ikulu ya rais na waziri wa nishati sembuse Bukoba, tumia kichwa chako vizuri na sio lazima uwe unachangia mada mbalimbali ikiwa hujui hata uhusiano au kazi ya mbunge na shughuli za mashirika ya umma,mbunge wa Bukoba Mjini Rwakatare kazi imemshinda ameshindwa kabisa kuongoza hilo jimbo bora tumrudishe Kagasheki
Kwani Rwakatare yeye ndo anafanya kazi pale switch yard ya kuzima umeme au acha ubashite wewembunge wa Bukoba Mjini Rwakatare kazi imemshinda ameshindwa kabisa kuongoza hilo jimbo bora tumrudishe Kagasheki