Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ulioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwisho mwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu