Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,611
Wanajamvi
Jana nifuatilia hotuba ya Raisi wetu Kipenzi! Inaonekana kafanya research watu wa mjini hawamuelewi!
Ameona wa vijijini wanamuelewa saana! nimeshangaaa, Tanzania yetu iko anticlockwise, naelewa mara nyingi na ni kawaida watu wa mjini kuwa waelewa kwa sababu nyingi tuu, mosi watu wa mjini wengi huwa ni walioelimika, pili kuna msemo mjini shule! inamaanisha ukiwa mjini tuu unakua na uelewa mpevu zaidi ya mtu wa vijijini.
Sasa mshangao wangu ni kua kumbe wa vijijini wanamuelewa Raisi mpendwa wetu zaidi! kwa kikawaida na conclude huenda wa mjini pia wanamuelewa zaidi!