Amri ya Rais kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8trn Capital Gains Tax
Jana nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi...
Mkazi wa Buguruni kwa Mnyamani anayetuhumiwa kuwachoma watu visu na kisha kuwatoboa macho, Salum Henjewele maarufu kama Scorpion amepandishwa kizimbani na katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala na...
Sitaki kuongea sana...
Natumia SUV, cc 2360, lt 75 gari ikiwa full tank, sasa leo jioni nikiwa na mishe zangu mabibo taa ya tank inawaka relini ukitoka ubungo(Just 5m from Oilcom station)...
Uwanja mzima ulilipuka kwa shangwe Leo uwanja wa taifa pale Nape Nauye alipoingia uwanjani jukwaa la VIP. Watu waliimba Jembe, jembe, jembe huku mwakyembe ambaye aliingia hata watu hawakuwa na...
Ebu tuambie nani alikuwa kimbelembele wakati wa kampeni 2015
Yaani licha ya kumshauri sana afanye mabadiliko ya kweli akaona kama unampigia mbuzi gitaa.
Na sasa anaisoma namba kisawasawa yaani...
Mtu anaweza akakufanyia jambo ambalo linaweza likakuuzi mpaka mwenye ukashindwa kujizuia mpaka ukalia au ukamfokea na kumtukana alielifanya ilo jambo.
Maisha yakaendeleaa...
Ikafika kipindi mtu...
Naongea kwania njemaa aisee nachokiona mda huu kwenye Saibaba T644 AWD siamini..
Ni basi ya Saibaba inakimbizana na mwenzie kiukweli naogopa yaani wana overtake ovyo hadi gari ndogo zinakimbilia...
Bunge la Tanzania linaweza
kupitisha azimio la kumtoa Raisi
madarakani kwa mujibu Wa Ibara
ya 46A ya katiba ya jamhuri ya
muungano wa Tanzania.
Kwa kufuata utaratibu ufuatao;
1. Raisi lazima awe...
Makonda ajiuzulu kupisha uchunguzi,hata kama rais kasema we fanya kazi...
Nimekuwa nashindwa kuelewa dhana ya Makonda na dawa za kulevya,na wengi wanaomtetea mh.Makonda wanadai amepambana na...
Ni kweli Watanzania walio wengi wanapenda sana udaku udaku haya ni mambo ambayo siyo muhimu kabisa katika kujitafutia maendeleo, hata mkipinga hapa huu ni ukweli.
Hata rais Magufuli naye anajua...
*HAJA YA KUJIBU HOJA KUHUSU MAGEUZI YA CCM*
Na Humphrey Polepole
*Mabadiliko ya Katiba ya CCM 2017 yamegusa maeneo gani?*
Hivi karibuni kumekuwapo maneno ya upotoshwaji juu ya Mabadiliko ya...
Ukifatilia hotuba za Nape wakati wa uchaguzi alimponda sana Lowassa, alichangia kupigwa chini
1. Lowassa mgonjwa
2. Lowassa hawezi kuongea zaidi ya dkk 10
3. Lowassa atajisaidia jukwaani {akiwa...
naomba kujua juu ya uhakika wa pesa inayotangazwa kwenye mitandao ya OnlineTaskyPay, Money4Task na sasa Youthnize,pindi unapojisajili tu una earn 25usd au 10usd kwa mitandao mingine, na vile...
Tff toeni namba wadau wajimwage angalau kwa DSM tu tukijimwage watu laki 1=tunachangia Million 100,Samantha akichukua robo yaani Million 25, tuta encourage timu jamaan hii ndio siri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.