sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,664
Watu wengi, tumeshindwa kuielewa Clouds Media Group, haswa baada ya kutangaza mgogoro na mkuu wa mkoa wa Dsm Rc Makonda, na baada ya hapo wameng'oa hata picha zake zilizokuwepo kwenye opening za taarifa zao za habari, wamiacha ya president Magufuli na nyingine nyingi ila Tukubali Clouds imetangaza vita na Makonda mchana kweupe, na hata ukikutana na wafanyakazi wao wapo straight kuwa Makonda kawakosea sana, kawasliti na they are demanding their respect na sio kingine.
Makonda asichowahi kujua ni nguvu ya Media hiyo ya vijana ambayo siku za karibuni ni kama imeajilipua hata ukitizama taarifa zao, vipindi vyao wameamua kusimama katikati, promo kwa serikali na Ccm imeshuka, na technically naona wanaondoa taratibu siasa katika vipindi vyao wanaifanya burudani zaidi.
Kimsingi, Clouds ni kama wamebaki wakiwa haswa walitegemea kuwa Ccm, serikali na baadhi ya viongozi ambao wamenufaika na Hiko chombo wangetoa support isipokuwa Nape ambaye aliamua kusimamia alichokiamini.
Matokeo yake ni nini: Makonda kagombana na chombo ambacho bahati mbaya kimerudisha heshima kubwa kwa kupingana na serikali hadharani, tofauti na migogoro mingine Clouds haijifichi kwenye uhuru wa vyombo vya habari wala chochote, wao huwezi kutilia shaka support yake kwa CCM, na sasa huwezi kutilia shaka ugomvi wake mkubwa kati yake na makonda.
Kilichobakia ni kufa kwa Clouds au kuondoka kwa makonda, kupata anguko. Kw sisi tunaowafaham Clouds na aina ya vijana iliyonao ambao wengi ndiyo misingi ya fitina za siasa tanzania, naona Ccm ikija kuingia gharama zaidi kupata support ya Clouds. Wasanii wote huwa ni wa Clouds, majukwaa yote huwa ni ya clouds, hata watu wasichokijua IT Masaki ni mali ya Clouds.
Tutegemee mabadiliko makubwa ya kisiasa. Tayari Clouds imenyamaza kabisa kwa sasa, wapo busy na mambo mengine ila ukitaka kujua fitina zilizopo katika lile jengo pale mikocheni B, uliza wasanii. Haswa Diamond platnumz ambaye ndiyo amepikiwa pale. Ni mtazamo wangu. Matusi si jambo jema tuheshimu mawazo ambayo sijamtukana wala kumkashifu mtu.