Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
I sulute you all!...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya hapa ndani,nimegundua kuna makundi makuu mawili.
Wanaoitetea serkali lakini pia wanao ikosoa;jambo ambalo ndio maana ya marumbano na kuzigombanisha hoja.
Lakin ajabu moja kubwa nilioibaini ni kuwa kama akipost anae itetea serkali kutakuwa like 4-5/thread,na ikitokea serikali inapingwa au kukosolewa basi zinakuwa like 5-6 per thread.
Usibishe bila facts,pitia uzi za nyuma uje na facts inayopinga ka-min resaearch kangu....