FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,896
- 43,782
Jadili hoja ukitilia maanani kinachotokea kule Tanganyika packers kila jpili. (20 marks)
Hakukosea sababu kiongozi wa malofa anatoka pale LUMUMBA ambae pia ni baba yake Daud Albert Bashite ambaye anashindwa kumtumbua hadi leo kwa kufoji cheti na kufanya fujo cloudsJadili hoja ukitilia maanani kinachotokea kule Tanganyika packers kila jpili. (20 marks)
Jadili hoja ukitilia maanani kinachotokea kule Tanganyika packers kila jpili. (20 marks)
Lodi LofaHivi kiongozi wa Malofa anaitwa nani vile?
Nyinyi fisiemu mnasimamia nn ? Teua tengua au kumkumbatie bashite , kwa jinsi mnavyopelekeshwa na huyo dingi wenu ni dhahri wote ni malofaaa hamna chadema wala ccmWapinzani ni marofa tu..hakuna wanachokisimamia. Wanapiga kelele tu bila kujua madhara yake. Marofa katika ubora wenu.
Simpendi huyuuuu!!!!Yeye mwenyewe lofa kwa kutuingiza mikataba mibovu ( madini) . Sihitaji hata kumheshimu mtu anayekuona lofa.