Wapi wanathibitisha nakala za vyeti?

B.J

Member
Oct 1, 2014
10
2
Naomba anayejua anifahamishe wapi naweza kupeleka kopi ya cheti changu ili wacertify, make nina abroad award sasa ili kuifanyia valuation wanahitaji a certified copy.
 
Naomba anaye jua anifahamishe wapi naweza kupereka kopi ya cheti changu iri wacertify, make nina abroad award sasa iri kuyifanyia valuation wanahitaji a certified copy
Mmmmh Kwa hiyo Maandishi...!Anyway Nenda Mahakama yoyote ile,Tafuta hakimu au Mwanasheria
 
Unatakiwa kuwa na certification ya certificate ambayo certifkcation yake imeshakuwa certicified. Hiyo certification ndio utakayoitumia kucertify cheti chako kwa wale wanaozisatisfy.
 
Duh! Kiswahili hatujui, kiingereza ndio balaa. Kuna siku nikaona mwanasheria feki kagonga sahihi kwenye certificate original ya mtu!!! Ujinga huu, ni mzigo.

Toa photocopies za certificates zinazotakiwa kuwa certified. Nenda nazo kwa advocate ukiwa na hizo original certificates. Advocate atakupigia mihuri na sahihi za hizo copies kwa kuhakikisha kweli ni photocopy ya original certificates.
 
"...Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma na kuelimika..."
Ali Hassan Mwinyi
 
Unatakiwa kuwa na certification ya certificate ambayo certifkcation yake imeshakuwa certicified. Hiyo certification ndio utakayoitumia kucertify cheti chako kwa wale wanaozisatisfy.
Kolomije ni kubwa,
Kwa wapi unatokea?
Sio kwa longolongo hizo.
 
Naomba anaye jua anifahamishe wapi naweza kupereka kopi ya cheti changu iri wacertify, make nina abroad award sasa iri kuyifanyia valuation wanahitaji a certified copy
Hakimu yeyote au Wakili hao watakusaidia ila ukienda kwingine watakupigia mhuri ila hautatambulika kisheria ila pia nenda na original ili aweze kuiangalia na kujiridhisha kabla hajacertify hiyo copy. Usiende kwa mkuu wa wilaya maana hana hiyo power.
 
Back
Top Bottom