sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Muheshimiwa Rais kama upo humu na unatumia Id fake kama sisi wengine au kama kuna watu wako wa karibu wakufikishie ujumbe huu
Usione kimya juu ya sakata la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ukafikiri watanzania wameridhika hapana, ukweli ni kwamba watanzania tunatafsiri tofauti juu ya kauli zako, tunatafsiri kuwa unamahusiano zaid ya mahusiano ya kikazi na Mkuu wa mkoa, maana hujawai hata kumkanya hadharani unamtetea tu,
Muheshimiwa watanzania hatujaridhika kabisa na hatopata ushirikiano kama mwanzo alivyopata, sasa ivi atalazimisha awe na mahusiano na baadhi ya watu, lakini naamini watakubali tu, kwa kulazimishwa ila hawako tayar, sasa ivi atatumia force, muheshimiwa Rais tambua watanzania tutakaa kimya ila mioyo yetu haina furaha na maamuzi yako juu yake