Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekaa nikatafakari juu ya nchi yangu inavyokwenda kwa sasa kwanza naanza na kumpongeza Mheshimiwa Raisi kwa nia njema aliyonayo kwa watu wake, Raisi wetu hana nia mbaya na sisi watoto wake ni...
0 Reactions
7 Replies
833 Views
Kwa nini mnaua ma albino!? Ndilo swali linaloniuma sana kila nikiulizwa, nilikumbana nalo juzi wakati Taifa Star inaifunga Botswana nikiwa naelezea umahiri wa mchezaji Samatta ukiachilia mbali...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawapongeza wale wote waliotoa filamu zao ungawaje zingine zilikuwa series. Kwa muda wa wiki moja kumetolewa fulamu zaidi ya tatu zenye madhumuni hasa ya kuua series moja iliyokuwa ikiendelea...
0 Reactions
3 Replies
806 Views
On 3 March 2017 the International Fund for Cultural Diversity (IFCD) launched its eighth call for funding requests. Since 2010, the IFCD is providing more than 6 million USD in funding for 90...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Habari wana-JF, Wakati wa kuapisha viongozi mbalimbali Mhe. Rais aliwapa onyo waandishi wa habari kuwa wanapoandika habari watoe vipaumbele kwa habari zenye tija kwa taifa na akaongeza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hongera kwa serikali kwa kudhamiria kuleta maendeleo kwa wananchi, hakika mwenye macho haambiwi tazama kila mwenye macho anajione mwenyewe, Ujenzi wa Barbara za juu ktk makutano ya ubungo hakika...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Kutokana na sababu zisizoandikika nimeamua mimi mwenyewe kuyapeleka mahakamani mashirika hayo mawili TANESCO na DAWASCO, hivyo nilikuwa napenda...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Awali ya yote napenda sana kuwapongeza vijana wa Tanzania kwa moyo wa Uzalendo na Uvumilivu mkubwa tulio nao. kwakweli nikiwa muhanga wa kusubiri ajira Serikalini kama tulivyozoea, kutokana na...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Ni zahiri kuwa madawa ya kulevya ni mabaya na yametuharibia sana ndugu zetu, lakini hakuna asiyejua kuwa mtandao wa madawa ya kulevya haukuanzia tu nchi hii, inaaminika kuwa kila sekunde inapoisha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu kwenu GT. Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Paul Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma, Dr.Gwajima pamoja na mahubiri,kesho ataendelea...
24 Reactions
233 Replies
35K Views
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu Mhe.Prof Norman Sigalla (katikati)akisisitiza jambo kwa Uongozi wa Vodacom Tanzania PLC wakati kamati hiyo ilipofanya ziara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiswahili zamani kidogo ila Sijasahau maana ya Sanaa Ikiwa na maana ya kuwasilisha mawazo ya mtunzi husika. Ikiwa na Vipengele vyake kama Ususi,muziki,Ufinyanzi,Uchongaji na kadhalika.Ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari za Jumamosi wakuu, natumaini weekend inaenda sawa upande wenu... kwangu sina shaka nimepumzika chini ya mti hapa. Sote tunafahamu tukio lililotea siku mbili kabla ya leo pale waziri wa...
3 Reactions
348 Replies
30K Views
Wakuu, Nimetulia getto namalizia ka weekend kangu nime tune 93.7 FM "namba ya bahati" nikiwa napata historia fupi ya Jabali la Muziki Marijani Rajabu. Huyu mtangazaji nimekua nikimfatilia sana...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani, Unaleta madoido ya...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Police wa Tanzania bwana. Video ya uvamizi wa RC wa DSM katika kituo cha Clouds Media hawakuiona, video ya mtu aliyemtishia bunduki Mh. Nape Nnauye ilhali alikuwa hana silaha na mikono kaweka...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni mtaa wa Gerezani.. Nyumba zote zilizopo karibu na reli zinabomolewa ili kupisha ujenzi wa reli ya kiwango cha kati unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.. Miongoni mwa waathirika wakubwa ni pamoja...
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Kuna baadhi ya watu wanaotaka kumtetea makonda kwa kutumia hoja ya utendaji kazi ili wafunike kombe la vyeti fake. Mi binafsi sioni lolote ambalo makonda kafanya la kusifia mpaka aonekane ni RC...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Hatuna haja ya kulalamikia serikali,! Tunabhaja ya kumuomba mungu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pilato alivyopelekewa shauri la Yesu na kulipitia kwa umakini hakuona hatia juu ya Yesu. Lakini makelele yakamshinikiza amhukumu akakubaliana na umati ulivyotaka japo hakuona hatia juu yake. Je...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom