Yuko wapi mwanahabari Deus Kibamba?

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,913
13,232
Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la makonda la kuivamia clouds ambalo limetikisa nchi yeye yuko kimya. Kipi kimempata huyu mwanaharakati?


download.jpg
 
Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la makonda la kuivamia clouds ambalo limetikisa nchi yeye yuko kimya.Kipi kimempata huyu mwanaharakati?View attachment 486956
Anajitambua!
 
nahisi hayupo nchini kuna kipindi nilisikia akifanyiwa mahojiano kwa simu sio zamani sana!
 
Kuwa hawezi kuikosoa serekali inayo ongozwa na mwanajumuiya mwenzake
Unaweza kulithibitisha hilo?

Au nawewe ni wale wale wa kulialia kama watoto wadogo...wa ubwabwa wa manjano na amira?

Wakati akiongoza J.Kikwette walisema kuwa Kikwete ametekwa na wakristo na hawajali waumi'nin wenzake wa kiislam

Wakati huohuo

1) Rais wa Zanzibar alikuwa Muislam

2) Makamu wa Rais wa Zanzibar muislam

3) Makamu wa Rais wa Tanzania Muislam

4) Jaji mkuu wa JMT muislam

Na bado wakawa wanalialia kama mtoto anayechomwa na mkojo wa kwenye nepi

Nawewe u mmoja wao?

Hebu jibu hilo kwanza kisha tuendelee.
 
Manaswara enzi za JK kelele zilikuwa kama miluzi. Kaingia mtu wao wote kimyaaaa
Watakan 'kata ewe muumi'nin

Wakati akiongoza J. Kikwete si ni nyie mlilaumu sana na kusema amatekwa na maaskofu wa kikristo na hawajali waislam wenzie?

Ni ubongo wako unaongea au utumbo uliokosa ubwabwa wa manjano wenye Ilk na amira?
 
Mkuu! Kuikosoa serikali siku hizi ni jinai!! Akina Bi kijobisimba na Ananilea nkya unawasikia siku hizi? Ole ngurumwa kawa bubu ghafla! Hujiulizi kulikoni? Nape Nnauye aliyekuwa mpigania chama amegeuka adui wa chama! Kisa kukosoa wenye mamlaka
 
Mkuu! Kuikosoa serikali siku hizi ni jinai!! Akina Bi kijobisimba na Ananilea nkya unawasikia siku hizi? Ole ngurumwa kawa bubu ghafla! Hujiulizi kulikoni? Nape Nnauye aliyekuwa mpigania chama amegeuka adui wa chama! Kisa kukosoa wenye mamlaka
Inanikumbusha enzi za mtukufu Daniel Arap Moi, sifa zote na utukufu alikuwa anapewa yeye tu!!
 
Back
Top Bottom