StoneOliver Senior Member Dec 28, 2016 111 60 Mar 27, 2017 #1 Mnaonaje hapo? Maana wanaharakati wa hip hop waoga na wakithubutu hawapati support full sababu maudhui yametumia maneno "mazito" Twende.
Mnaonaje hapo? Maana wanaharakati wa hip hop waoga na wakithubutu hawapati support full sababu maudhui yametumia maneno "mazito" Twende.
Bob12 JF-Expert Member Feb 27, 2017 11,422 58,790 Mar 27, 2017 #2 Ataambiwa kama unadhani una uhuru wa kuimba kila kitu NOT TO THAT EXTENT