NDESSA
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 1,946
- 1,795
Kwa wale wanaofuatilia Taarifa za habari ITV mtakubaliana na mm kuwa karibu kila siku huyu reporter lazima awe na story ya ku report.
Ukiangalia mikoa mikubwa inakosa habari lakini huyu jamaa pamoja na kwamba mkoa wake uko pembezoni ila anajitahdi kutafuta habari.
Hongera George, Chapa kazi.
Ukiangalia mikoa mikubwa inakosa habari lakini huyu jamaa pamoja na kwamba mkoa wake uko pembezoni ila anajitahdi kutafuta habari.
Hongera George, Chapa kazi.