lipoprotein
Member
- Oct 4, 2016
- 51
- 58
Akihojiwa na Ayo tv Jana, Msukuma alidai kwa walichokifanya watu wanaodaiwa ni askari kumuonyesha bastola mhe Nape ni sahihi kwani kitambulisho cha askari yeyote ni bastola au bunduki hivyo Nape hakupaswa kuwa na shaka maana walikuwa wanamlinda. Msukuma alienda mbali zaidi na kusema hata yeye alionyeshwa SMG nane lakini hakuwa na shaka maana wale ni askari.
My take: Nchi hii ina sampuli na sampuli jamani
My take: Nchi hii ina sampuli na sampuli jamani